Simon Msuva akishngilia baada ya kufunga bao.
Klabu ya Yanga SC imeendelea kujiikarisha katika msimamo wa ligi kuu Tanzania bara baada ya kuchomoza na ushindi wa bao 3-2 mbele ya Stend United katika mchezo uliofanyika uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam.

Mabao ya Yanga SC yalitumbukizwa nyavuni na washambuliaji Amisi Tamwe, Mrisho Ngassa na Simon Msuva huku mshambuliaji wa Stend United Kheri Mohamed akiwatoa mashabiki wao kimasomaso kwa kufunga mabao yote mawili kwa upande wa timu yake.
Mrisho Ngassa alifunga bao la pili dakika 47 baada ya kugongeana one two na Juma Abdul kisha na kuipenya ngome ya Stand na kuifungia timu ya Yanga goli la pili kabla ya Simon Msuva kuhitimisha bao la tatu kwa njia ya mkwaju wa penalti baada ya Amisi Tambwe kuanguashwa katika eneo la hatari la Stend United.
Mshambuliaji huyo wa Stend United alifunga bao hizo katika dakika ya 20 la kwanza dakika ya 65.
0 comments:
Post a Comment