TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI (NEC), YAANZISHA MAJIMBO MAPYA 26, MLIMBA YAWA JIMBO JIPYA MOROGORO.
Kwa mujibu wa Ibara ya 75(4) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano waTanzania ya mwaka 1977, Tume ya Taifa ya Uchaguzi ina jukumu lakuchunguza mgawanyo wa Jamhuri ya Muungano katika Majimbo yaUchaguzi:
MAJIMBO YALIYOANZISHWA KWA KIGEZO CHA ONGEZEKO LA HALMASHAURI
Majimbo 20 yanayoanzishwa kutokana na kuanzishwa kwa
Halmashauri mpya ni:
1. Handeni Mjini
2. Nanyamba
3. Makambako
4. Butiama
5. Tarime Mjini
6. Tunduma
7. Nsimbo
8. Kavuu
9. Geita Mjini
10. Mafinga Mjini
11. Kahama Mjini
12. Ushetu
13. Nzega Mjini
14. Kondoa Mjini
15. Newala Mjini
16. Mbulu Mjini
17. Bunda Mjini
18. Ndanda
19. Madaba
20 Mbinga Mjini
MAJIMBO YALIYOANZISHWA KWA KIGEZO CHA IDADI YA WATU.
Majimbo 6 yanayoanzishwa kutokana na idadi ya watu ni:
1. Mbagala – Dar es salaam
2. kibamba – Dar es salaam
3. Vwawa – Mbeya
4. Manonga - Tabora
5. Mlimba - Morogoro
6. Ulyankulu - Tabora
Chanzo: http://www.jamiiforums.com/
0 comments:
Post a Comment