BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

WANAJESHI WA MAREKANI WALIOTIBUA SHAMBULIZI LA KIGAIDI NDANI YA TRENI YA MWENDO KASI WAPEWA TUZO NA RAIS

Rais wa Ufaransa Francois Hollande amatoa tuzo la juu zaidi nchini Ufaransa kwa Waamerika wanne ambao walitibua shambulizi la kigaidi kwenye treni ya mwendo wa kasi kwenda mjini Paris siku ya Jumamosi. Zawadi za waliotibua shambulizi Ufaransa.

Mwanajeshi Mmarekani ambaye alijeruhiwa Spencer Stone alipomuangusha mwanamgambo huyo sakafuni , alipewa tuzo hilo pamoja na Waamerika wengine na Muingereza mmoja ambao wote wametajwa kuwa mashuja.

Bwana Hollande alisema kuwa kungetokea maafa kwenye treni hiyo iwapo abiria hao hawangechukua hatua.Waziri mkuu wa Ubelgiji Charles Michel na balozi wa Marekani nchini Ufaransa Jane Hartley walishudhuia sherehe hizo.BBC
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: