Huyu ndiye mtafiti wa TADIP aliyemtangaza Edward Lowassa wa Ukawa kuwa ni mshindi kwa 54% dhidi ya Dk John Magufuli wa CCM, picha hizo zilinazoonyesha matukio mawili tofauti baada ya kuunganishwa ikionyesha upande mmoja akiwa na nguo na alama inayotumiwa na Chadema huku nyingine ikionekana akitangaza matokeo.PICHA YENYE GUMZO MITANDAO YA KIJAMII BAADA YA KUTOA UTAFITI WA URASI UCHAGUZI MKUU OKTOBA 2015 NA KUMBEBA LOWASSA.
Huyu ndiye mtafiti wa TADIP aliyemtangaza Edward Lowassa wa Ukawa kuwa ni mshindi kwa 54% dhidi ya Dk John Magufuli wa CCM, picha hizo zilinazoonyesha matukio mawili tofauti baada ya kuunganishwa ikionyesha upande mmoja akiwa na nguo na alama inayotumiwa na Chadema huku nyingine ikionekana akitangaza matokeo.
0 comments:
Post a Comment