BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

TASWIRA ZA WANYAMA NA NDEGE NDANI YA HIFADHI ZA TAIFA ZA TANZANIA.

Wanyama, Ndege na viumbe wengine wamekuwa wakipatikana ndani za hifadhi za Tanzania ambapo watalii hupata fursa ya kuwaona wanyama kama simba, tembo, twiga, faru, Ngiri na aina mbalimbali za wanyama na ndege katika hifadhi hizo.

Baadhi ya hifadhi hizo za taifa ni pamoja na Mikumi , Serengeti, Manyara, Ruaha, Gombe, Ngorongoro, Sadani na n:k.









 


Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: