RAIS DKT JAKAYA KIKWETE AONGOZA WAKAZI WA HANDENI KUMZIKA DK ABDALLAH KIGODA TANGA. mtanda blog 7:00 PM kitaifa , siasa , slider Edit Rais Jakaya Kikwete akiungana na wananchi wa Handeni wamemzika aliyekuwa waziri wa Viwanda na Biashara Dk Abdallah Kigoda mkoani Tanga leo Alhamisi Oktoba 15 mwaka 2015. Dk Kigoda alifariki dunia wiki iliyopita nchini India alikokuwa amelazwa, Share on Facebook Share on Twitter Share on Google Plus About mtanda blog Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari RELATED POSTS
0 comments:
Post a Comment