BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

UKAWA WAPATA PIGO UCHAGUZI MKUU: MWENYEKITI MWENZA EMMANUEL MAKAIDI AFARIKI DUNIA HOSPITALI YA NYANGAO MKOANI LINDI.

 
Mwenyekiri wa chama cha NLD Emmanuel Makaidi enzi za uhai wake.
 
TANZIA
Mwenyekiti Mwenza wa UKAWA, Emmanuel Makaidi amefariki leo katika Hospitali ya Nyangao mkoani Lindi 
Amefariki kwa shinikizo la damu.

Aaliyekuwa Mwenyekiti Mwenza wa Ukawa na Mwenyekiti wa chama cha NLD, amefariki dunia majira ya mchana wa kei Oktoba 15 katika hospitali ya Nyangao alikuwa amelazwa baada ya kulazwa.

Taarifa za msiba huo endelea kuungana nasi ili kuweza kujua nini kinaendelea.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: