BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

YANGA SC HIYO YASONGA HATUA YA MAKUNDI KOMBE LA SHIRIKISHO BAADA YA KUFUNGWA BAO 1-0 NA SAGRADA ESPRANCA YA ANGOLA

Klabu ya Yanga SC ya Dar es Salaam Tanzania imesonga mbele katika michuano ya hatua ya makundi ya kombe la shirikisho baada ya kufungwa bao 1-0 katika mchezo wa marudiano kati ya wenyeji wao klabu ya Sagrada Esparanca uliofanyika leo Mei 18 kwenye mjini Dundo Angola.

Sagrada Esparanca walihitaji ushindi wa bao 3-0 nyumba ili kusonga hatua ya pili lakini kutokana na kupata ushindi wa bao 1-0 wamekubalia kuacha Yanga SC kusonga mbele kufuatia mchezo wa awali kufungwa bao 2-0 katika mchezo uliofanyika hivi karibuni jijini Dar es Salaam
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: