Jeshi la Polisi limeanza kutekeleza mtindo mpya wa kuwaadhibu madereva wote wanaotumia barabara ya mabasi ya mwendo kasi na kuvunja sheria za Barabarani.
Mtindo huo wa adhabu unajumuisha kumkamata dereva, kumuandikia makosa na kulipa faini na pia kumpiga picha na kuzisambaza mitandaoni ili wahusika waone
"uchungu" wa kosa na wengine wajifunze kupitia adhabu hizo.
0 comments:
Post a Comment