MWANDISHI MKONGWE JENERALI ULIMWENGU APATA AJALI YA GARI DAR ES SALAAM.
Mwanahabari, Mwandishi na Mwenyekiti wa Bodi ya Gazeti la Raia Mwema Jenerali Ulimwengu amepata ajali Dar es Salaam asubuhi mapema leo.
Yupo hospitali ya Muhimbili kitengo cha mifupa Moi kwa matibabu.Chanzo/jamiiforums.com
0 comments:
Post a Comment