
Na fadhilipaulo.com
Tunda hili lina faida nyingi pamoja na kuwa ni chanzo kikuu cha Protini, Mafuta, Nyuzinyuzi, Wanga,Calcium, Phosphorus, Chuma,Vitamin A,B6,C. Potasium, Magnesium, Carotene, anthocyanins na Virutubisho vingine vingi.
Tunda linasaidia kuwa na uwezo mkubwa wa kuimalika kwa misuli na mfumo wa fahamu kufanya kazi zake vizuri na kuondoa katika hatari ya kupata shinikizo la damu.
Faida 13 za tikiti maji kiafya
โข Asilimia 92 yake ni maji
โข Vitamini A ndani yake huboresha afya ya macho
โข Vitamini C ndani yake huimarisha kinga ya mwili,
โข Huponya majeraha,
โข Hukinga uharibifu wa seli
โข Huboresha afya ya meno na fizi
โข Vitamini B6 husaidia ubongo kufanya kazi vema
โข Hubadilisha protin kuwa nishati
โข Chanzo cha madini ya potasiamu
โข Husaidia kushusha na kuponya shinikizo la damu
โข Hurahisisha mtiririko wa damu mwilini
โข Huondoa sumu mwilini
โข ๐๐๐ผ๐ป๐ด๐ฒ๐๐ฎ ๐ป๐ด๐๐๐ ๐๐ฎ ๐ธ๐ถ๐๐บ๐ฒ ๐ต๐ฎ๐๐ฎ ๐๐ธ๐ถ๐น๐ฎ ๐ฝ๐ฎ๐บ๐ผ๐ท๐ฎ ๐ป๐ฎ ๐บ๐ฏ๐ฒ๐ด๐ ๐๐ฎ๐ธ๐ฒ
0 comments:
Post a Comment