JESHI LA POLISI LAAGIZWA KUMSAKA MBUNGE WA KAWE HALIMA MDEE KWA KUMTUKANA SPIKA WA BUNGE.
Spika wa bunge mhe. Job Ndugai ameagiza jeshi la Polisi kumkamata Mara moja mbunge wa kawe Halima Mdee na kumfikisha bungeni kujibu tuhuma zinazo mkabili za kumtukana Spika.
Ahueni kwa Mdee ni kutekeleza utii wa sheria bila shuruti wa kutumia masaa 24 ya kufika bungeni mwenyewe.
0 comments:
Post a Comment