
Na Geofrey Chambua
Nimeangalia kumbukizi kupitia picha mwendo na kujiridhisha kwamba Mbeya City walikua 10 ndani ya uwanja na kipa wao wa 11
Kanuni za TFF (zilizotoholewa) na FIFA zimeweka wazi suala hili
Maswali mawili ya msingi yanayoulizwa na wengi
1. Nani anapaswa kuwajibika?
2. Je Yanga watapewa ushindi wa mezani?
1. Nani wa Kulaumiwa?
Extra persons on the field of play
The coach and other officials named on the team list (with the exception of players or substitutes) are team officials. Anyone not named on the team list as a player, substitute or team official is an outside agent.
If a team official, substitute, substituted or sent off player or outside agent enters the field of play the referee must:
only stop play if there is interference with play
have the person removed when play stops
take appropriate disciplinary action
If play is stopped and the interference was by:
a team official, substitute, substituted or sent off player, play restarts with a direct free kick or penalty kick
an outside agent, play restarts with a dropped ball
If a ball is going into the goal and the interference does not prevent a defending player playing the ball, the goal is awarded if the ball enters the goal (even if contact was made with the ball) unless the ball enters the opponents’ goal.
ndiyo maana kunakua na fourth official, ukiangalia clipa anahangaika kumuita refa kwa sababu anaju amechemsha ..hapo ilitakiwa mpira usimame ...mchezaji aliyezidi apewe onyo ima la kadi ama kutolewa nje , refa aanzishe upya mchez ama kwa kutoa adhabu ya TUTA kwa Mbeya city.
UTATA UNAKUJA KWA SABABU REFA ALIPOITWA ILI ASIMAMISHE MCHEZO ima hakusikia lakini wakati huo huo tayari kamisaa alishaona kosa ima alifanya makusudi tu kumaliza mchezo huenda hakutegemea suala kama hili kujitokeza
1. Mchezaji wa Mbeya City anaadhibiwa kwa kutumia ujanja ambao ungeigharimu timu yake, kadhalika mchezaji huyu HAKUOMBA RUHUSA KUINGIA JAMBO AMBALO LINGEWAFANYA MAAFISA KUMZUIA KWANI MWENZAKE ALISHAINGIA.
2. Refa anaadhibiwa kwa kutomsikiliza kamisaa wake, kawaida kamisa akishasimaa refa lazima ajue kuna kitu cha kusaidia NJE yeye akaendelea na mchezo hadi mwisho.
3. Kamisaa hakua makini kuona mchezaji anarudi uwanjani ingawa alifanya sehemu yake kumuita refa ambaye yumkini hakumsikia
4. Maafisa wa Mbeya City hata kama mchezaji yule alifanyiwa Sub bila kujua walitakiwa wawajibike kumzuia asirudi uwanjani nao wanawajibika
HII INAITWA CHAIN OF ACCOUNTABILITY ambayo ina cite precedent katika soka
SWALI LA PILI: JE MBEYA CITY WATAPOKWA POINT?
Kanuni inasema kwamba iwapo goli limefungwa na refa akagundua baadaye kwamba kuna mchezaji wa ziada uwanjani, goli hilo litabaki kama lilivyo, Refa atasimamisha mchezo na kumuadhibu mchezji husika kisha kuuanzisha tena mchezo kwa kuudunda
Kitakachofuata ni ripoti ya mchezo kwa mamlaka husika
KIMSINGI MATOKEO YA UWANJANI YATABAKI KAMA YALIVYO NA HAPA ITABIDI SUALA LA UTAWALA (UWAJIBIKAJI) LICHUKUE MKONDO WAKE.
If, after a goal is scored and play has restarted, the referee realises an extra person was on the field of play when the goal was scored, the goal can not be disallowed. If the extra person is still on the field the referee must:
stop play
have the extra person removed
restart with a dropped ball or free kick as appropriate
The referee must report the incident to the appropriate authority.
0 comments:
Post a Comment