MTIBWA SUGAR YAIDUWAZA SINGIDA UNITED KWA KUTWAA KOMBE LA FA KATIKA FAINALI ARUSHA
TIMU ya soka ya Mtibwa Sugar ya Manungu mkoani Morogoro kuiwakilisha nchini katika mashindano ya Kuimataifa ya Shirikisho Afrika mwakani baada ya kunyakua kombe la Shirikisho kwa ushindi mnono wa mabao 3-1 dhidi ya Singida United.
Mechi hiyo ya fainali iliyozikutanisha timu hizo zimepigwa katika uwanja Sheikh Amri Abeid Karume uliopo mjini Arusha ambapo mtanange huo ulianza majira ya saa tisa.
mapema dakika 22 , salum kihimbwa aliiandikia mtibwa bao la kuongoza, kabla ya issa rashidi kuongeza lingine dakika ya 37, lakini alikuwa ni salum chuku aliyeifungia bao la kwanza singida united dakika.
dakika 71, kiungo wa singida united, tafadzwa kutinyu, aliisawazishia timu yake na kufanya ubao kusomeka 2-2, lakini dakika 81, rashid alipata kadi nyekundu kwa kumchezea rafu kiungo wa singida united, deus kaseke.
winga wa mtibwa sugar, ismail aidan, aliiandikia bao la tatu timu yake baada ya kupokea pasi nzuri kutoka kwa kelvin kongwe na kufanya matokeo kuwa 3-2, na timu hiyo kuibuka na ushindi huo.
0 comments:
Post a Comment