Nohodha wa timu ya soka ya Ulinzi Sport Club Charles Thimoth akifurahia kombe baada ya timu yake kutwaa ubingwa wa mashindano ya Mei Mosi kw...
Read More
MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO
Home / Archive for April 2011
Wachezaji wa timu ya soka ya Ulinzi Sport Club wakishangia huku wakiwa na kombe la ubingwa wa mchezo huo baada ya kuifunga timu ya Tumbaku F...
Read More

ULINZI SPORT CLUB YATWAA UBINGWA WA SOKA MASHINDANO YA MEI MOSI 2011 MORO.
TIMU ya soka ya Ulinzi Sport Club imetwaa ubingwa wa mashindano ya Mei Mosi baada ya kufanikiwa kuifunga timu ya Tumbaku Fc katika mchezo mk...
Read More
UKAGUZI KABLA YA KUJA UGENI KATIKA UWANJA WA JAMHURI MORO.
Mkuu wa mkoa wa Morogoro Issa Machibya kushoto akifafanua jambo kwa baadhi ya wanakamati wa ulinzi na usalama mkoa huo wakati walipotembelea...
Read More
AJALI YA GARI DOGO NA PIKIPIKI.
Wakazi wa Manispaa ya Morogoro wakiangalia pikipiki T 373 BNC iliyogngwa na gari dogo T 701 BAD baada ya kutokea ajali katika barabara ya Mi...
Read More
WASOMALI 82 CHINI YA ULINZI MKOA WA MOROGORO
Askari polisi wakiwa wanawalinda raia wa nchi ya Somalia 82 baada ya kuwakamata katika kijiji cha Mtumbatu barabara kuu ya Dodoma-Morogoro e...
Read More
MAHINSANO YA MEI MOSI KUFIKA TAMATI APRIL 29 MORO.
WACHEZAJI WA TIMU ZA NETIBOLI WAKICHUNA KATIKA MCHEZO WA NUSU FAINALI KATI YA IDARA YA POLISI NA MABO YA NDANI. MASHINDANO ya Mei Mosi yanat...
Read More
SIJUI WANAONGEA NINI WAKUU WAO.
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dk Haji Mponda kushoto akimsikiliza mkuu wa mkoa wa Morogoro Issa Machibya wakati wa ufunguzi wa kikao cha...
Read More
MWENYEKITI NISIKILIZE MKATENEGENEZE BARABARA MBOVU SANA.
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dk Haji Mponda kushoto akimsikiliza mkuu wa mkoa wa Morogoro Issa Mchibya wakati wa ufunguzi wa kikao cha ...
Read More
WAZIRI WA FEDHA NA AFYA USATWI WA JAMII KATIKA KIKAO CHA BARABARA MKOA WA MOROGORO.
Waziri wa Fedha Mustafa Mkulo kushoto akitoa ufafanuzi wakati wa ufunguzi wa kikao cha 27 cha bodi ya barabara mkoa wa Morogoro kilichofanyi...
Read More
MIWA TUNATAFUTA WATEJA.
Wachuuzi wa miwa katika Manispaa ya Morogoro wakikokota baiskeli zilizoshehe miwa wakati wakitoka kijiji cha Misonge kwa ajili ya kuwauzia w...
Read More

MEI MOSI YAPAMBA MOTO MORO
WASHINDI wa kwanza kwa michezo mitano tofauti ikiweno mchezo wa jadi wa bao, draft,mbio za baiskeli na riadha wamepatikana baada ya kufanyik...
Read More
KIKOSI CHA ULINZI SPORT CLUB AMBACHO KILITOA KIPIGO KWA AFYA MEI MOSI.
WACHEZAJI WA TIMU YA SOKA YA ULINZI SPORT CLUB WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA MUDA MFUPI KABLA YA KUTOA KIPIGO DHIDI YA TIMU YA AFYA SPORT CL...
Read More
TIMU YA AFYA SPORT CLUB AMBAYO IMEPIMEPOKEA KIPIGO KUTOKA KWA ULINZI SPORT CLUB RONO FAINALI MEI MOSI.
KIKOSI CHA TIMU YA AFYA SPORT CLUB AMBACHO KIMEFUNGWA BAO 4-0 NA TIMU YA ULINZI SPORT CLUB MUDA MFUPI KABLA YA KUANZA KWA MCHEZO HUO UWANJA ...
Read More

TIMU YA IDARA YA POLISI NETIBOLI YATINGA NUSU FAINALI BAADA YA KUTOA KIPIGO KIKALI MEI MOSI DHIDI YA ALLIANCE ONE.
TIMU ya netiboli ya idara ta Polisi imetinga nusu fainali baada ya kuilaza timy ya Alliance One katika mchezo war obo fainali uliofanyika kw...
Read More

ZATINGA NUSU FAINALI MEI MOSI
TIMU za soka za Ulinzi Sport Club na Idara ya Polisi zimefanikiwa kutinga nusu fainali katika mashindano ya Mei Mosi baada ya kupata ushidi ...
Read More
HUYU ANADAIWA KUFANYA UHARIFU HAPA AKIDHIBITI ILI APELEKWE KITUONI
Wakazi wa Manispaa ya Morogoro wakiwa wamemkwida kijana ambaye anadaiwa kufanya uharifu wakati wakifanya jitihada za kumzibiti ili wamfunge ...
Read More
NA HII NI AJALI NYINGINE.
Gari aina ya toyota prado lenye namba ya usajili T 786 AHF likiwa limetumbukia kwenye mtaro jirani na mzunguko wa Sua katika barabara ya Sab...
Read More
HII NI MFULUZIZO WA AJALI ZA BARABARANI MOROGORO
Wakazi wa Manispaa ya Morogoro wakiangalia gari aina ya toyota land cruser mara baada ya kupata ajili na kupinduka katika barabara ya Korogw...
Read More
AJALI YA BASI LA AL SAEDY LAPINDUKA MORO NA KUUA MAMA NA MTOTO
BASI LA KAMPUNI YA AL SAEDY LIKIWA LIMEPINDUKA NA KUACHA NJIA KATIKA ENEO LA SANGASANGA KWA MWARABU NA KUSABABISHA VIFO VYA ABIRIA WAWILI MA...
Read More
MAJERUHI WA AJALI YA BASI LA AL SAEDY KATIKA WARD NO 1
SHIJA ISAMBA AKIHUDUMIWA NA WAUGUZI WA HOSPITALI YA MKOA WA MOROGORO
Read More
MTOTO AWADH FADHI (11) MKAZI WA KIMARA DAR ES SALAAM AKIWA WARD NO 1 AKIUGULIA MAUMIVU BAADA YA KUTOKEA AJALI.
Read More
NAWASILIANA NA NDUGU ZANGU.
MMOJA WA ABIRIA BASI LA L SAEDY AKIWA KATIKA WARD NO 1 YA HOSPITALI YA MKOA WA MOROGORO HUKU AKIWA AMEWEKEWA SIMU SIKIONI ILI KUWAJULISHA ND...
Read More
VIBAKA CHINI YA ULINZI
VIJANA AMBAO NI WAKAZI WA ENEO LA SANGASANGA WAKIWA CHINI YA ULINZI BAADA YA KUDAIWA KUTAKA KUPORA ABIRIA WALIOPATA AJALI KATIKA BASI LA AL ...
Read More
TUMENUSURIKA
BAADHI YA ABIRIA WALIONUSURIKA KATIKA AJALI YA BASI LA AL SAEDY WAKIWA ENEO LA TUKIO.
Read More

MAMA na mtoto wamefariki dunia papo hapo huku abiria 30 wakijeruhiwa baada ya basi waliokuwa wakisafiria la kampuni ya Al Saedy kutoka Mbeya...
Read More
MTUHUMIWA CHINI YA ULIZNI BAADA YA KUDAIWA KUFANYA FUJO WAKATI KIKAO CHA MAHAKAMA KIKIENDELEA MORO.
MAAFISA WA JESHI LA MAGERASKARI MANISPAA YA MOROGORO WAKIWA WAMEMKWIDA MWANAMAMA MMOJA AMBAYE ALIDAIWA KUFANYA FUJO KATIKA MAHAKAMA YA MWANZ...
Read More
ZIARA YA MBUNGE KATIKA JESHI LA POLISI NA MAGEREZA MORO.
MBUNGE WA JIMBO LA MOROGORO MJINI AZIZ ABOOD AKIWA NA BAADHI YA MAAFISA WA JESHI LA MAGEREZA MKOA WA MOROGORO MUDA MFUPI KABLA YA MBUNGE HUY...
Read More
UKAGUZI WA KITUO KIDOGO CHA POLISI KIMEUZULIWA PAA NA UPEPO.
MKUU WA UPELELEZI WA MAKOSA YA JINAI MKOA WA MOROGORO HAMIS SELEMAN KUSHOTO AKIWA NA MBUNGE WA JIMBO LA MOROGORO MJINI AZIZ ABOOD MARA BAADA...
Read More
HAPA MH MBUNGE AKIFAFANUA JAMBO MBELE YA ASKARI WA JESHI LA POLISI.
MBUNGE WA JIMBO LA MOROGORO AZIZ ABOOD AKIFAFANUA JAMBO WAKATI AKIZUNGUMZA NA ASKARI WA JESHI LA POLISI MKOA HUO, KULIA NI KAMANDA WA POLISI...
Read More
KAMANDA WA POLISI MKOA WA MOROGORO ADOLPHINA CHIALO NI KAMA ANASEMA HIVI.
TUNA MATATIZO MENGI MH MBUNGE UKITUSAIDIA UPATIKANAJI WA PILIPIKI KWA AJILI YA VIJANA WANGU KUFANYA KAZI YA DOLIA ITAFAA SANA HUKU MBUNGE WA...
Read More
RPC AKIMKARIBISHA MBUNGE MORO MJINI.
MBUNGE WA JIMBO LA MOROGORO MJINI AZIZ ABOOD KULIA AKIPOKELEWA NA MWENYEJI WAKE AMBAYE NI KAMANDA WA JESHI LA POLISI MKOA WA MOROGORO ADOLPH...
Read More

MBUNGE KUWALIPIA FAINI WAFUNGWA NA MAHABUSU MORO.
Na Fatuma Mwampepo, Morogoro. MBUNGE wa Morogoro mjini kwa tikiti ya chama cha Mapinduzi Abdulaaziz Abood ameahidi kuwalipia faini wafungwa ...
Read More
CHUO CHA ARDHI MOROGORO CHAFANIKIWA KUPIMA VINJWA 4200 KATIKA MIKOA NANE KWA MWAKA 2010.
WAHITIMU WA CHUO CHA ARDHI MOROGORO KUTOKA VERONICA GEORGE, ADAM MWIGUNE NA ANGEL MESS WAKIWA NA VYETI VYAO MARA BAADA YA KUHITIMU KOZI YA U...
Read More

MASHINDANO YA MEI MOSI KUTUMIA SH 15MIL MORO.
JUMLA ya sh 15Mil zinatarajia kutumika kwa ajili ya gharama za kundesha mashindano ya Mei Mosi yanayoshirikisha zaidi ya michezo sita tofau...
Read More
MASHINDANO YA MEI MOSI YASIKA KASI KWA MORO.
MSHAMBULIAJI WA TIMU YA SOKA YA IDARA YA POLISI MWINYIJUMA JUMBE KUSHOTO AKIWANIA MPIRA DHIDI MLINZI WA TIMU YA UKAGUZI SPORT CLUB ALFONCE S...
Read More
ULINZI SPORT CLUB YATOA DOZI DHIDI YA UKAGUZI MASHINDANO YA MEI MOSI MOROGORO.
Mshmbuliaji wa timu ya Ulinzi Sport Club Saidi Seif kushoto akimtoka mlinzi wa timu ya Hazina Fc Ahmada Kombo wakati wa mashindano ya Mei Mo...
Read More

TIMU YA NETIBOLI YA POLISI TANZANIA YAANZA NA KIBONDE MASHINDANO YA MEI MOSI MORO.
TIMU ya Netiboli ya Polisi Tanzania imenza mashindano ya Mei Mosi kwa kutoa kuichapa timu ya Chuo cha Mipango Dodoma (IRDP) kwa kuifunga mab...
Read More
MABINGWA WA SOKA MKOA WA MOROGORO YAANZA VEMA MASHINDANO YA MEI MOSI MORO.
Mchezaji wa timu ya soka ya Tumbaku Fc Haji Mfaume mbele akijaribu kumtoka mchezaji wa Ukagauzi Juma Msukule nyuma wakati wa ufunguzi wa ma...
Read More
TPPL YATOA OVYO MCHEZO WA NETIBOLI MASHINDANO YA MEI MOSI MOROGORO.
Mchezaji wa timu ya TPPL Gladness Joseph kulia akitafuta mbinu ya kutoa pasi kwa mwenzake huku akizongwa na mchezaji wa Tamisemi Zawadi Mwan...
Read More

TANGAZO KWA WADAU WANAOTEMBELEA BLOG HII.
TUNA KARIBISHA PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA SEHEMU YOYOTE NDANI NA MKOA WA MOROGORO NA NJE YA MKOA HUO KUTOKA KWA WADAU WETU ILI KUWEZ...
Read More
NISHATI YA KUNI !!!
WACHUUZI WA KUNI KATIKA MANISPAA YA MOROGORO WAKIJIPUMZISHA ENEO LA TENESCO BARABARA KUU YA DODOMA-MOROGORO HUKU BAISKELI ZAO ZIKIWA ZIMESHE...
Read More
ASKARI WA USALAMA BARABARANI WAKIWA KAZINI.
ASKARI WA USALAMA BARABARANI KATIKA MANISPAA YA MOROGORO WAKIWA WAMEMKWIDA KIJANA ANAYEDAIWA KUKWAPUA SIMU YA MKONONI KATIKA KITUO KIKUU CHA...
Read More

MASHINDANO YA UMISETA MORO YAANZA KUTIMUA VUMBI.
MASHINDANO ya umoja wa michezo kwa shule za sekondari Tanzania (UMISETA) yameanza kutimua vumbi kwa kushirkisha michezo mbalimbali ambapo mi...
Read More

KOMBE LA DUNIA LA CRECKET 2011.
KOMBE LA CRECKET 2011 AMBALO NCHINI YA INDIA ILITWAA UBINGWA WA DUNIA WA MASHINDANO HAYO MAKUBWA YA MCHEZO HUO KATIKA MCHEZO WA FAINALI DHID...
Read More

FURAHA YA UBINGWA WA DUNIA WA KOMBE LA CRICKET 2011.
WACHEZAJI WA TIMU YA TAIFA YA INDIA KATIKA MCHEZO WA CRICKET WAKIFURAHIA USHINDI DHIDI YA SRI LANKA MARA BAADA YA KUIBUKA MABINGWA WA KOMBE ...
Read More

MASHABIKA WA SRI-LANKA HUZUNI KUKOSA KOMBE LA DUNIA CRICTET 2011.
MASHABIKI WA NCHINI YA SRI LANKA WAKIWA WAMJEJISHIKA TAMA MARAA BAADA YA TIMU YAO KUKOSA KOMBE LA CRICKET DHIDI YA NCHINI YA INDIA.
Read More
KAROTI.
Mkazi wa Manispaa ya Morogoro akiwa amebeba tenga lenye karoti katika barabara ya Boma waakati akielekea sokoni kwa ajili ya kutafuta wateja...
Read More

FURAHA YA USHINDI !
WACHEZAJI WA MANCHESTER UNITED WAKISHANGILIA BAO LILILOFUNGWA NA PARK DHIDI YA CHELSEA KATIKA MASHINDANO YA CHAMPIONS LEAGUE KATIKA UWANJA W...
Read More

DROGA AKISHANGILIA GOLI
MSHAMBULIAJI WA CHELSEA DROGBA AKISHANGILIA GOLI BAADA YA KUFUNGA BAO DHIDI YA MANCHESTER U KATIKA MASHINDANO YA CHAMPIONS LEAGUE AMBAPO KAT...
Read More
Subscribe to:
Posts
(
Atom
)