BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

AJALI ZA BASI MBILI ZA TAQWA NA MORO BEST ENEO MOJA LA NERO MIKESE BARABARA KUU IRINGA-MOROGORO AMBAPO ZAIDI YA ABIRIA 45 WAMEJERUHIWA KTK AJALI HIYO.


BASI LA TAQWA ENEO LA AJALI.

ENDELEA KUSHUKA CHINI ILI KUWEZA KUONA PICHA ZAIDI ZA MATUKIO YA AJALI YA BASI MBILI ZILIZOTOKEA KWA NYAKATI TOFAUTI IKIWEMO BASI LA TAQWA LILILOKUWA LIKITOKA NGARA KWENDA DAR ES SALAA NA MORO BEST NALO AMBALO LILIKUWA LIKITOKA WILAYANI KILOSA KWENDA DAR ES SALAAM KUPATA AJALI ENEO MOJA HUKU CHANZO KIKITAJWA KUWA NI LORI AMBALO LILIHARIBIKA NA KUEGESHWA KATIKA ENEO AMBALO LINA MLIMA NA MTELEMKO LA NERO MIKESE BARABARA KUU IRINGA-MOROGORO KUTOKANA NA HALI HIYO IMECHANGIA KWA KIASI KIKUBWA MAGARI KWA WAKATI HUO KUSHINDWA KUPISHANA NA MALORI HAYO KWA KUHOFIA KUGONGANA NAYO USO KWA USO HIVYO KULAZIMA KUYAPISHA KWA KUBANA ZAIDI UPANDE WA KUSHOTO AMBAPO MAGURUDUMU YALITELEZA KWENYE NYASI KABLA YA KUACHA NJIA NA KUPINDUKA HUKU ABIRIA ZAIDI YA 45 WAKIJERUHIWA.

KATIKA AJALI HIYO ILITOKEA MAJIRA YA SAA 1:30 AM KWA BASI LA TAQWA WAKATI WA MORO BEST ILITOKEA MAJIRA YA SAA 4:4:04 AM
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: