
ASKARI WA JWTZ AKIMJULIA HALI MMOJA WA MAJERUHI WA AJALI BASI LA MORO BEST LILILOKUWA LIKITOKEA KILOSA KWENDA DAR ES SALAAM, ASKARI ALIFIKA HOSPITALINI HAPO KWA AJILI YA KUUGUZA FAMILIA YAKE YA WATU WANNE AMBAO WAMEPATA AJALI YA BASI LA TAQWA AKITOKEA JIJINI DAR ES SALAAM

MUUGUZI WA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA MOROGORO STELLA KIZEGA AKIMPATIA HUDUMA MOJA WA AJALI YA BASI LA MORO BEST

MTOTO PASCAL BRASIO (4) AKIWA WARDI NO 4 HOSPITALI YA MKOA WA MOROGORO BAADA YA BASI LAO LA TAQWA KUPATA AJALI WAKATI WAKITOKEA NGARA MKOANI KIGOMA KUELEKA DAR ES SALAAM

MAJERUHI WA BASI LA TAQWA UPENDO LUKINDO AKIWA WARDI NO 5B HOSPITALI YA MKOA WA MOROGORO AKIUGUZA MAJERAHA BAADA YA BASI LAO AMBALO LILIKUWA LINATOKA NGARA MKOANI KIGOMA KUPATA AJALI NA KUOPINDUKA WAKATI WAKIELEKEA JIJIN I DAR ES SALAAM ENEO LA NERO MIKESE BARABARA KUU IRINGA-MOROGORO NA KUJERUHI ABIRIA 27.

0 comments:
Post a Comment