WAZIRI WA NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI PROF ANNA TIBAIJUKA KULIA NA MKUU WA MKOA WA MOROGORO JOEL BENDELA WAKIFURAHIA JAMBO KABLA YA WAZIRI HUYO HAJAWATUNUKU VYETI WAHITIMU WA KOZI MBALIMBALI WAKATI WA MAHAFALI YA 30 YA CHUO CHA ARDHI MOROGORO AMBAPO ZAIDI YA WAHITIMU 15 WALITUNUKIWA VYETI NGAZI YA STASHAHADA NA CHETI MKOANI HAPA.
WAHITIMU WA KOZI MBALIMBALI WAKIMSIKILIZA WAZIRI WA NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI PROF ANNA TIBAIJUKA.
MKUFUNZI WA CHUO CHA ARDHI MOROGORO PIUS KAFEFA KULIA AKIFAFANUA JAMBO KWA WAZIRI WA NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI PROF ANNA TIBAIJUKA (MWENYE KILEMBA KICHWANI) KIFAA KINACHOTUMIKA ALAMAZA ZA VIWANJA.
WAZIRI WA NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI PROF ANNA TIBAIJUKA NA MKUU WA MKOA WA MOROGORO JOEL BENDELA WA PILI YAKE WAKIPATA MAELEZO KUTOKA KWA RAMADHAN BAYA KULIA JUU YA KIFAA TOTAL STION KINACHOTUMIKA KUFANYA UPIMAJI KWA KUTUMIA MFUMO WA ELEKTRONIKI WAKATI WAZIRI HUYO ALIPOTEMBELEA CHUO CHA ARDHI MOROGORO KABLA YA KUWATUNUKU WAHITIMU KOZI MBALIMBALI NGAZI YA STASHADA NA CHETI MKOANI HAPA.
MKUU WA MKOA WA MOROGORO JOEL BENDELA (KATIKATI) AKIFAFANUA JAMBO KWA WAZIRI WA NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI PROF ANNA TIBAIJUKA KUSHOTO WAKATI WAZIRI HUYO ALIPOTEMBELEA CHUO CHA ARDHI MOROGORO, KULIA NI MKUU WA CHUO HICHO, DESDERIUS KIMBE.
0 comments:
Post a Comment