HABARI MPYA !!!!!!!!!!!!!! MAHAKAMA YATENGUA MATOKEO YA UBUNGE JIMBO LA ARUSHA MJINI.
ALIYEKUWA MBUNGE WA JIMBO LA ARUSHA MJINI KUPITIA TIKITI YA CHADEMA, GODLESS LEMA AKIZUNGUMZA NA VYOMBO MBALIMBALI VYA HABARI MJINI ARUSHA.
Mahama kanda ya Arusha imetoa hukumu ya baada ya kusikiliza kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi uliofanyika mwaka 2010 katika jimbo la Arusha ambaye mgombea wa Chadema Godbless Lema alishinda uchaguzi huo ambapo kwa sasa jimbo hilo halina mwakilishi katika bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Habari zaidi tutaendelea kujulishana.
0 comments:
Post a Comment