BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

SHIRIKA LA SAVE THE CHILDREN LAHITAJI KIASI CHA DOLA 800 KUSAIDI WATOTO MASKINI NCHINI UINGEREZA.



 Waziri Mkuu wa Uingereza, David Cameron
 Waziri Mkuu wa Uingereza, David Cameron.

SHIRIKA la kimataifa la misaada la Save the Children kwa mara ya kwanza linahitaji kiasi cha Dola 800 na kutoa wito wa upatikajani wa misaada kusaidia watoto maskini nchini Uingereza.

Katika taarifa yake shirika hilo lilisema kuwa nchini Uingereza kumekuwa na hali ya kuzorota kwa uchumi na kupanda kwa gharama ya maisha ambako kumechangia familia nyingi nchini humo kuishi katika umaskini.

Utafiti uliofanywa na shiurika hilo umebaini kuwa baadhi ya watoto wengi katika familia hizo maskini watoto wao wamekuwa wakienda shuleni wakiwa na njaa na bila mavazi ya msimu wa baridi.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: