Mchezaji
wa timu ya Yanga ya jijini Dar es salaam, Haroun Niyonzima kushoto akimiliki mpira mbele ya beki
wa timu ya Ruvu Shooting ya Pwani katika mchezo wa ligi kuu ya Vodacom
uliofanyika kwenye uwanja wa Taifa jioni hii jijini Dar es salaam,
mpira umekwisha timu ya Yanga imeifunga Ruvu Shooting magoli 3-2,
Mchezaji
wa Yanga Jerrison Tegete akishangilia mara baada ya kufunga goli la
pili katika mchezo huo na kufanya kipindi cha kwanza kumalizika timu
zikitoshana nguvu kwa magoli, mpaka kipindi cha pili ambapo Yanga
iliongeza goli la tatu na kufanya matokeo hayo kuwa 3-2


0 comments:
Post a Comment