Diwani wa kata ya Kilakala Libon Mkali kulia akifafanua jambo kwa Diwani mwenzake Samuel Msuya wa kata ya Mbunguni wakati wa kikao cha baraza la madiwani Manispaa ya Morogoro.
Sehemu ya baadhidi ya madiwani wakifuatia kikao cha baraza hilo.
Diwani wa kata ya Kingo, Fidelix Tairo kulia na wenzake wakifutialia taarifa kutoka katika kabla wakati wa kikao cha barza hilo.
Diwani wa kata ya Kauzeni Ahmed Mazolla wa kwanza kushoto akipitia kabla katika kikao hicho.
Sehemu ya watendaji wa vyeo mbalimbali katika Manispaa ya Morogoro nao wakifutalia kikao hicho.
Madiwa wa kata mbalimbali wa Manispaa ya Morogoro wakiwa katika kikao cha baraza hilo.







0 comments:
Post a Comment