Chama
Cha Mapinduzi kimemteua Katibu Mkuu wake mstaafu, Philip Mangula
kugombea nafasi ya Makamu Mwemnyekiti wa chama hicho kwa upande wa
Tanzania Bara huku kwa Zanzibar akiteuliwa Rais wa Zanzibar, Dk. Ali
Mohamed Shein.
Uteulzi wa wagombea hao umefanywa na Kikao Cha CC na Kuthinishwa
na NEC usiku wa kuamkia leo, Lakini Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape
Nnauye amesema leo mjini Dodoma.![]() |
Mangula na Dk. Sheni watapigiwa
kura na wajumbe wa Mkutano Mkuu, unaofanyika leo kwenye Ukumbi wa
Kizota nje kidogo ya mji wa Dodoma.


0 comments:
Post a Comment