
DIWANI wa kata ya Mbuyuni, Samuel Msuya, akimkabidhi Kaimu Mwalimu Mkuu wa shule hiyo ya kata, vitabu 300 vya masomo ya hisabati na fizikia
kwa ajili ya kufundishia wanafunzi wa
kidato cha kwanza hadi cha nne, kulia kwake ni
mbunge wa jimbo la Mvomero, Amos Makalla ambaye ndiye alimpatia msaada
huo wenye thamani ya sh 4Mil.

0 comments:
Post a Comment