BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

KENYA YAANZISHA SHERIA KALI KWA MADEREVA.

Mwanamke akata bara-bara nchini Kenya
SHERIA mpya ya Kenya ya kuzuwia madereva kuendesha magari kihatari, inaanza kutekelezwa Jumamosi.

Wakikutikana na makosa madereva watakabili adhabu kali pamoja na kifungo cha maisha.

Madereva wa mabasi ya abiria, yaani matatu, wamekuwa wakigoma tangu Alhamisi mjini Nairobi na kwengineko, kulalamika juu ya sheria hiyo.

Wengi wanasema kuwa hawamudu faini kubwa.
Lakini serikali imeazimia kupunguza vifo mabara-barani.

Mwaka uliopita Wakenya zaidi ya 3,000 wamekufa kwenye ajali za barabarani.

Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: