Rais Jakaya Mrisho Kikwete na
viongozi wenzie wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki
wakishuhudia utiwaji saini mkataba wa haja ya kuwepo kwa ushirikiano wa
kibiashara kati ya Marekani na nchi za Jumuiya hiyo katika ukumbi wa
Mikutano wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta jijini Nairobi, Kenya.
Zoezi hili lilifanywa baina ya Mawaziri wa Bishara wa nchi wanachama wa Jumuiya na Kaimu Waziri wa Bishara wa Marekani Bi Rebecca Blank aliyehudhuria kikao hicho.
Zoezi hili lilifanywa baina ya Mawaziri wa Bishara wa nchi wanachama wa Jumuiya na Kaimu Waziri wa Bishara wa Marekani Bi Rebecca Blank aliyehudhuria kikao hicho.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akishuhudia Rais Mwai Kibaki wa Kenya akimkabidhi nyundo Rais Yoweri
Muzeveni kama ishara ya kukabidhi Uienyekiti wa Jumuiya ya Afrika
Mashariki katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta jijini
Nairobi, Kenya.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja na viongozi wenzie wa Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Ujumbe wa Tanzania katika mkutano
wa nne wa Jumuiya ya Afrika Mashariki katika ukumbi wa Mikutano wa
Kimataifa wa Jomo Kenyatta jijini Nairobi,
Kenya.
Kenya.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akimpongeza kijana Joel Adagson Mwigomole kwa kuibuka mshindi wa pili wa
kuandika Insha kwa wanafunzi wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika
Mashariki wakati wa mkutano wa nne wa Jumuiya hiyo katika ukumbi wa
Mikutano wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta jijini Nairobi, Kenya. Joel ni
mwanafunzi wa kidato cha tatu katika shule ya sekondari ya Mzumbe,
Morogoro.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika
Mashariki Rais Yoweri Museveni wa Uganda akimpongeza kijana Joel Adagson
Mwigomole kwa kuibuka mshindi wa pili wa kuandika Insha kwa wanafunzi
wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wakati wa mkutano wa
nne wa Jumuiya hiyo katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Jomo
Kenyatta jijini Nairobi, Kenya.Joel ni mwanafunzi wa kidato cha tatu
katika shule ya sekondari ya Mzumbe, Morogoro.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika
picha ya pamoja na viongozi wenzie wa Jumuiya ya Afrika Mashariki na
washiriki mwishoni mwa kikao cha nne cha Jumuiya nje ya Jengo la
Mikutano wa Kimataifa la Jomo Kenyatta jijini Nairobi, Kenya.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagwa kwa heshima wakati anaondoka jijini Nairobi, Kenya.PICHA NA IKULU.
0 comments:
Post a Comment