BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

UJANA MAJI YA MOTO, SAMAKI MKUNJE ANGALI MBICHI KWANI AKIKAUKA HUWEZI KUMJUNJA.


 Kijana wa kiume akiwa ameweka pozi huku akiwa amevaa sketi fupi kivazi ambacho huvaliwa na wasichana ama wanawake, katika picha hii haihitaji ufafanuzi kuhusu kijana huyu kwani muonekano wake tayari una uvunjivu wa 100% wa maadili ya mtanzania.

Ni vema jamii ikajitahidi kupinga kwa nguvu zote vitendo vya namna hii iwe kwa wavulana-wanaume, wasichana-wanawake kwa kuwakanya mapema watoto kuingiza katika makundi yasiyofaa ambayo yanavunja mila na desturi zetu za kitanzania pengine na makabila yetu kwani nina imani hakuna kabila lenye tamaduni ya muonekano wa kijana huyo.

HII NI LAANA, VIJANA TUNAENDA WAPI ?.

Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: