Hubby Henry Kilewo.
My Hubby Henry Kilewo akiwa katika shughuli zake za kisiasa.
Mwanamke akila kiapo, "KWA TABU NA RAHA"
MUDA nakubali kuolewa naye nilifahamu fika kuwa yeye ni mwanasiasa, Ila
nitamsupport mume wangu kwa kazi yake aliyoichagua, siwezi kumwambia
AACHE SIASA, Hilo kwa kweli HALIWEZEKANI, Hata yeye hajawahi hata siku
moja kuniingilia katika kazi yangu ya kutetea haki za wanawake na
maendeleo ya wanawake kwa ujumla(WANAWAKELIVE) na kuniambia niiache.
Ila nina swali la kuuliza hapa "KILA MTU ANAPOPATA TATIZO KATIKA KAZI YAKE ANATAKIWA KUIACHA???" Mfano Daktari akipata tatizo katika kazi yake aache? Ama Mwalimu ama mtu yoyote yule kwa kazi anayoifanya akipata changamoto anatakiwa kuacha.
Fans Wangu wote naamini mtakuwa mmenielewa na mtaendelea kuwa nami all
the way, Msimamo wangu ni huu, Nitasimama upande wake na kuendelea
kumsupport mume wangu Henry, SIASA ni kitu anachokipenda SIWEZI
KUMWAMBIA AACHE.

0 comments:
Post a Comment