Mgeni
Rasmi katika Mpambano wa Kimataifa wa kuwani Mkanda wa Ubingwa wa Dunia
wa WBU,kati ya Mabondia Francis Cheka wa Tanzania na Phil Williams wa
Marekani,Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo,Mh. Dkt. Fenella
Mukan
gala (mwenye koti jeupe) akimvisha Mkanda wa Ubingwa huo,Bondia Francis Cheka baada ya kumshinda kwa Point Mpinzani wake,katika Mchezo uliomalizika jan usiku kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee,Jijini Dar es Salaam.Kulia ni Bingwa wa Zamani wa Masumbwi,Fransous Bhotha.

Mashabiki wa Cheka wakifurahi na kumbeba baada ya kutangazwa mshindi.
Bondia
Mmarekani Phill Williams (kulia) akichapana na Francis Cheka wa
Tanzania katika pambano lao lililomalizika usiku huu kwenye Ukumbi wa
Diamond Jubilee.
Mabondia hao wakiliana Timing.......
Cheka (kulia) na Phill wakichapana......
Cheka (kulia) na Phill,wakiendelea kuchapana
We subiri inakuja hiyooooo
Sehemu ya mashabiki wa mchezo huo waliofurika kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee kumshuhudia Cheka akimchakza Mmarekani.
Sehemu ya mashabiki wa mchezo huo waliofurika kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee kumshuhudia Cheka akimchakza Mmarekani.
Baadhi ya wageni waalikwa walioshuhudia mchezo huo.
Bondia Mada Maugo (kulia) akimwadhibu mpinzani wake, Thomas
Mashari
kwa konde zito wakati wa pambano lao la raundi 10 la kuwania ubingwa wa
Dunia wa WBF, ambapo Mashali ameibuka mshindi kwa
Pointi dhidi ya Maugo. Chanzo: Sufiani Mafoto Blog.
Bondia
Francis Cheka wa Tanzania (kushoto) akimrushia makonde makali mpinzani
wake,Phil Williams kutoka nchini Marekani wakati wa mpambano wao wa
Kimataifa kuwania Mkanda wa Ubingwa wa Dunia wa WBU,uliofanyika usiku
huu kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee,Jijini Dar es Salaam.Bondia Francis
Cheka ameibuka kidedea baada ya kumchapa mpinzani wake huyo kwa Point.
Bondia
Phil Williams kutoka nchini Marekani (kulia) nae alikuwa akijibu
mashambulizi kwa mpinzani wake,Francis Cheka.hadi mwisho wa mchezo
uliokuwa wa raundi 12,Francis Cheka aliweza kuibuka Kidedea kwa kumchapa
mpinzani wake huyo kwa point na kufan
ikiwa kumnyang’anya mkanda wa Ubingwa wa Dunia wa WBU.
ikiwa kumnyang’anya mkanda wa Ubingwa wa Dunia wa WBU.
Chukua hiyoooooo…
Hapa lazima ukae,mie ndio kisiki cha mpingo:hivyo ndivyo Bondia Francis Cheka alivyoonekana kuifanya kazi yake vilivyo.
Refa
wa Mchezo huo akimzuia Bondia Francis Cheka baada ya kumkoleza makonde
kisawasawa mpinzani wake,yaliyompelekea kwenda chini.
Mpambano ukiendelea.
Wanahabari wakipata taswira za mpambano huo.
SOURCE DAILY NEWS
About mtanda blog
Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
0 comments:
Post a Comment