BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

TIGO YAMKABIDHI BAJAJI MKULIMA WA MKUYUNI MORO BAADA YA KUSHINDA PROMOSHENI YA TIGO YA MILIKI BIASHARA YAKO.


Mshindi wa promosheni ya Tigo 'Miliki Biashara Yako' Rashid Hussein Rashid kutoka Morogoro akionyesha furaha ndani ya Bajaji aliyoshinda mara baada ya kukabidh
iwa rasmi zawadi hiyo katika hafla fupi iliyofanyika soko kuu, Morogoro. PICHA JUMAMTANDA.BLOGSPOT.COMMshindi wa promosheni ya Tigo ‘Miliki Biashara Yako’ Bw. Rashid Hussein Rashid kutoka Morogoro akiangalia namba za usajili na leseni ya barabarani (road license) ya Bajaji yake mpya aliyoshinda mara baada yakukabidhiwa rasmi na Mtaalam wa Masoko Tigo Bw. Alex Msigara katika hafla fupi iliyofanyika soko kuu, mkoani humo.
MSIGARA AKIMWANGALIA MSHINDI MUDA MFUPI KABLA YA KUMKABIDHI.
 
 AKIONGEA NA VYOMBO VYA HABARI MARA BAADA YA KUMALIZIKA ZOEZI HILO.
 SEHEMU YA MBELE YA BAJAJ HIYO INAVYOONEKANA

 RASHID HUSSEIN AKIELEKEA KUKABIDHIWA BAJAJ.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: