HUKUMU ya Amatus Liyumba ya kukutwa na simu gerezani inatarajiwa kutolewa kesho.
Liyumba ambaye alikuwa Mkurugenzi wa zamani wa Utawala na Utumishi (DPA) wa benki kuu ya Tanzania imeahirishwa leo na hukumu hiyo itatolewa kesho katika mahakama ya hakimu mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam ikitolewa na Augustina Mmbando.

0 comments:
Post a Comment