BREAKING NEWS: BONDIA FRANCIS CHEKA (SMG) AFUNGWA JELA MIAKA MITATU BAADA YA KUKUTWA NA HATIA MAHAKAMA YA HAKIMU MKAZI MOROGORO.
Bondia wa ngumi za kulipwa Tanzania, anayeshikilia mikanda lukuki ikiwemo wa WBF, Francis Cheka, amefungwa kifungo cha miaka mitatu jela leo Februari 02/ 2015 kwa kosa la kumshambulia Meneja wake mkoani Morogoro katika mahakama ya hakimu mkazi Morogoro.
Kwa habari zaidi endelea kutembelea blog hii......
0 comments:
Post a Comment