ADHA YA MGOMO WA VYOMBO VYA USAFIRI WA UMMA NAMNA UNAVYOTOA ADHA KWA WANANCHI.
Picha ya maktaba anaonekana Mkazi wa Manispaa ya Morogoro akiwa amembeba mtoto huku akiwa amemshikilia mwingine akitembea kwa mguu kutoka sehemu moja kwenda nyingine baada ya Manispaa ya Morogoro kukumbwa na mgomo uliohusisha vyombo vya usafiri leo. Picha na maktaba/MTANDA BLOG.
Mgomo huo umehusika pia miji ya Mwanza, Morogoro na Dar es Salaam na wananchi kupata adha ya kutembea kwa miguu kwa umbali mrefu tofauti na hapo awali kabla ya mgomo huo.
0 comments:
Post a Comment