BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

MPIGA PICHA MAARUFU AFARIKI DUNIA GHAFLA NA KUZIKWA MAKABURI YA KOLA MOROGORO.

Jeneza lenye mwili wa marehemu, George Mdangu ambaye alikuwa mpiga picha maarufu likishushwa kutoka kwenye gari tayari kwa mazishi, leo April 30/ 2015 katika makaburi ya Kola Manispaa ya Morogoro, George amefariki dunia usiku wa April 28 nyumbani kwao Kiwanja cha Ndege kwa Winga wakati akiwa usingizini.

 Picha ya George Mdingo enzi za uhai wake.
Waombolezaji wakiwa katika makaburi ya Kola wakati wa ibada ya mazishi ya mpiga picha maalumu George Mdangu leo April 30/ mwaka 2015.
Familia ya marehemu Mdangu wakiomboleza kifu cha ndugu yao wakati wa mazishi makaburi ya Kola
Rafiki mkubwa wa marehemu Mr Komba (aliyechomekea) akiangalia jeneza lenye mwili wa rafiki yake George Mdangu likiingizwa katika kaburi wakati wa mazishi yake, makaburi ya Kola Manispaa ya Morogoro leo April 30/ 2015.Picha zote na Mtanda Blog.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: