Mwenyekiti wa Misa Tanzania, Simon Berege akizungumza jambo wakati wa kongamano la siku mbili la siku ya uhuru wa vyombo vya habari iliyoanza kufanyika mkoani Morogoro leo, kushoto ni Mwandishi wa habari mkongwe nchini,Eda Sanga na kulia ni Mkurugenzi mtendaji wa Chama cha wanahabari wanawake Tanzania-TAMWA- Valerie Msoka.PICHA/Mtanda Blog.
MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment