BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

MFANYAKAZI WA SHIRIKA LA UJASUSI KOREA KUSINI AMEKUTWA AMEKUFA

Udukuzi wa mitandao 

Mfanyikazi wa shirika la ujasusi la Korea Kusini amepatikana akiwa amekufa huku kashfa ya kisiasa kuhusu udukuzi wa simu ikiendelea.

Alijiua na kuwacha kijikaratasi kilichokuwa kikizungumzia mfumo wenye utata ambapo kifaa cha uchunguzi kinawekwa kwenye simu za mkononi na kompiuta.

Kwenye kijikatarasi hicho anakanusha madai kuwa serikali ilikuwa imetumia programu hiyo kuwachunguza watu nchini Korea Kusini.

Lakini alikiri kuwa aliharibu mifumo ya ujasusi ya maajenti wa Korea Kaskazini.

Serikali imesema kuwa ilikua na lengo la kuharibu uwezo wa vita vya mitandao dhidi ya Korea Kaskazini.BBC
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: