Msafara wa Mgombea urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. John Pombe Magufuli ulitekwa na kuzingirwa na wananchi wakati ukiwasili katika ofisi za CCM mkoa wa Geita ili kuweza kumuona mgombea huyo kwa ukaribu zaid. PICHA ZOTE NA MICHUZIJR
Mgombea Urais alieteuliwa na Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa na Wanaccm na Wananchi wa Mkoa wa Geita, Wakati aliposimama kuwasalimia akitokea jijini Mwanza kuelekea Kijijini kwake Chato. Hapa ni Kivukoni Busisi Mkoani hapo, mapema asubuhi ya leo.
Mgombea Urais CCM, Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia maelfu ya Wanaccm na Wananchi wa Mkoa wa Geita, mara baada ya kuwasili mapema leo asubuhi.

0 comments:
Post a Comment