BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

RAIS DK JOHN MAGUFULI AANZA KAZI KWA KUFANYA ZIARA YA KUSTUKIZA KUTOKA IKULU HADI WIZARA YA FEDHA DAR ES SALAAM.

Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli amefanya ziara ya kushtukiza kwa kutembea toka Ikulu hadi katika wizara ya fedha na kukagua utendaji kazi wa wafanyakazi mbali mbali ofisi kwa ofisi na kukuta Maofisa wengi wa serikali hawapo kazini.Rais anapitia majina ya waliopo ofisini, kazi ndiyo imeanza hivyo ya urais !.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: