Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli na
mkewe Mama Janeth Magufuli wakimjulia hali Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la
Katoliki la Dar es salaam katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete
iliyopo katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili leo January 1, 2016.
Kardinali Pengo alilazwa hospitalini hapo jana jioni kwa ajili ya
kufanyiwa uchunguzi wa afya yake.
0 comments:
Post a Comment