Takriban watu 18 walipoteza maisha yao katika ajali ya magari kaskazini mwa Nigeria katika barabara ya Bauchi-Jos, polisi wa mitaa alisema Jumatatu.Ajali hiyo ilitokea siku ya Jumapili baada ya lori na basi aina ya Toyota Hiace lililokuwa limebeba abiria 18 kugongana , Mohammed Haruna, msemaji wa polisi katika jimbo la Bauchi,alisema.
Kulingana na rekodi ,Nigeria ina viwango vya juu vya vifo kwa ajali za barabarani hasa kutokana na barabara baya, magari hafifu na ukiukaji wa sheria za usalama barabarani na madereva.CHANZO:ChinaXinhua News

0 comments:
Post a Comment