BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

DIAMOND APALIWA NA KUSHINDWA KUINYWA KAHAWA NYEUSI KATIKA TUZO ZA BET MAREKANI



DJ raia wa Afrika Kusini ambaye pia ni producer maarufu kama Black Coffee (Kahawa Nyeusi), amewabwaga wanamuziki maarufu wakiwemo WizKid, Yemi Alade na Diamond Platnumz na kushinda tuzo la kimataifa ya usanii la BET.

Mwaka uliopita Black Coffee alitoa albamu yake ya tano, Pieces of Me, na kupata mashabiki wengi.
Mwaka 2015 na 2016 umaarufu wake uling'aa katika ulingo wa kimataifa maeneo tofauti kote duniani

Tuzo hilo llitangazwa kupitia kwa mitandao ya kijamii.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: