BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

BANDARI YA DAR ES SALAAM YAKABILIWA NA UPUNGUFU WA MIZITO KUTOKA NJE YA NCHI.


Mamlaka ya Bandari nchini TPA imesema inakabiliwa na upungufu wa mizigo ambapo sasa kwa siku inahudumia magari 1500 tu tofauti na uwezo wake wa kuhudumia magari 3500 kwa siku yatokayo nje ya nchi na kuwa kutokana na hali hiyo hawawezi kupeleka magari kuhifadhiwa bandari kavu kwani hata yenyewe haina mzigo wa kutosha.Chanzo/RadioOneStereo
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: