BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

IDARA YA UHAMIAJI YAWADAKA WAFANYAKAZI WAWILI RAIA WA KIGENI WAKIFANYA KAZI SERIKALI KINYUME NA SHERIA

Raia wawili wa kigeni, Bahilanya Milingita (kushoto) na Dk Esther Green Simon Mwenitumba, wamebambwa kwa makosa ya kuishi na kufanya kazi serikalini, kinyume cha sheria za Uhamiaji nchini.

Wamekamatwa na Idara ya Uhamiaji mkoa wa Dar es Salaam na wanatarajiwa kufikishwa kortini wakati wowote.


Bw Milingita ni raia wa Kongo DRC, amekutwa akifanyakazi shirika la ugavi la Tanzania (TANESCO), Dk Mwenitumba amebambwa akiwa Mganga Mkuu Kituo cha Afya Mburahati.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: