Umoja wa matawi ya Yanga umemsimamisha uanachama wa klabu hiyo Katibu wa baraza la wazee wa Yanga, Ibrahim Akilimali kwa kosa la kumdhalilisha mwenyekiti wa klabu hiyo Yussuf Manji.
MZEE IBRAHIM AKILIMALI ATUMBILIWA JIMBU, YUSUPH MANJI AMPONZA.
Umoja wa matawi ya Yanga umemsimamisha uanachama wa klabu hiyo Katibu wa baraza la wazee wa Yanga, Ibrahim Akilimali kwa kosa la kumdhalilisha mwenyekiti wa klabu hiyo Yussuf Manji.

0 comments:
Post a Comment