MAISHA YA BARACK OBAMA BAADA YA KUMALIZA KAZI YA URAIS WA MAREKANI
Rais mstafu wa Marekani, Barack Obama akiwa kwenye moja ya michezo ya kwenye mahi ikiwa ni wiki tatu tu zilizopita kumpisha Donald Trump kuongoza nchi hiyo.
Kwa sasa Obama yupo katika Visiwa vya Karibiani ambapo amekuwa na mmiliki wa Kisiwa hicho Bilionea, Richard Branson akifurahisha nafsi.
Hayo ndio maisha baada ya kazi ngumu moyo huhitaji faraja.
0 comments:
Post a Comment