BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

MAADHIMISHO SIKU YA MTOTO WA AFRIKA MKOA WA MOROGORO JUNI 16, 2012.

                                  
Watoto kutoka kituo cha Afrika Inland Church (AIT) Nasra Mshamu na Lulu Rajabu kulia wakitumbuiza kwa wimbo wa "kwani twaangamia" kwa wananchi waliohudhuria maadhimisho ya siku ya mtoto wa afrika ambayo huanzishwa juni 16 kila mwaka kwa nchi 51 wanachama wa uliokuwa Umoja wa nchi huru za Afrika (OAU) kwa ajili ya kukumbuka mauaji ya kinyama waliyofanyiwa watoto wa kitongoji cha Soweto nchini Afrika ya Kusini mwaka 1976 ambazo zilifanyika kimkoa kata ya Chamwino mkoani hapa.
  Hapa wakionyesha mfano halisi ya watoto walemavu katika onyesho wakati wa kiele cha siku ya mtoto wa afrika.
             
Wanafunzi wa shule ya msingi Chamwino B Manispaa ya Morogoro wakimba huku wakiwaonyeshea wenzao ambao wanaigiza kama walemavu kulia wakati wa kilele cha maadhimisho ya siku ya mtoto wa afrika ambayo huanzishwa juni 16 kila mwaka kwa nchi 51 wanachama wa uliokuwa Umoja wa nchi huru za Afrika (OAU) kwa ajili ya kukumbuka mauaji ya kinyama waliyofanyiwa watoto wa kitongoji cha Soweto nchini Afrika ya Kusini mwaka 1976 ambazo zilifanyika kimkoa kata ya Chamwino mkoani hapa.
             
 Msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka kituo cha Mehayo Mauli Juma (26) kushoto akitumbuiza kwa wimbo wa ''sijaomba kuwa mlemavu"' kwa wananchi waliohudhuria maadhimisho hayo.
              
 Mwanafunzi Agnes Peter (13) akiimba kwa hisia wakati wa maadhimisho hayo.
              
 Alfa Zunga (19) kulia na Baraka Mikumo (20) wakipiga ngoma kwa uhodari mkubwa wakati kikundi chao cha Mehayo kikikumbuza kwenye maadhimisho hayo.
                
wasichana wa kutoka kanisa la Anglikana wakiimba kwa hisia katika kilele cha siku ya mtoto wa afrika.
                   
Sehemu ya wanafunzi na wananchi ambao walihudhuria maadhimisho hayo wakifutilia matukio mbalimbali.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: