S TAKABADHI za Serikali zilizotolewa huko Uingereza zinaonyesha kwa ukamilifu namna wafungwa wengi waliuawa wakati wa uasi wa...
Read More
MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO
Home / Archive for November 2012
AFARIKI DUNIA WAKATI AKIZUIA NYUMBA ISIANGUSHWE KWA UPEPO MKOANI GEITA.
MKAZI wa Kijiji cha Kilombero, mkoani Geita, Mahangaiko Buruhe (52) amefariki dunia baada ya kusombwa na upepo mkali ulioambatana na m...
Read More
MTAALAMU WA KUCHOMA MOTO MIILI YA MAREHEMU TANZANIA.
ZUBERI MIPIKO . SENTENSI iliyoandikwa katika lango kuu ni ‘Hindu Crematory’, yaani ‘Tanuru la Wahindi la Kuchomea Mait...
Read More
WAZIRI KIVULI WA NISHATI NA MADINI JOHN MNYIKA: SERIKALI IMEZIDI KUDHIHIRISHA UDHAIFU.
Kauli hiyo ya Mnyika ambaye ni Waziri kivuli wa Nishati na Madini imekuja siku chache tangu gazeti la East African kutoa taarifa kwamba ...
Read More
ZANZIBAR HEROES YAITANDIKWA RWANDA 2-1 CECAFA CHALENJI CUP NCHINI UGANDA.
Uwanja wa Namboole unaotumika katika michezo ya CECAFA huko Uganda . K INDUMWENDUMBWE cha mashindano ya CECAFA Chalenji kiliendelea t...
Read More
NGUO FUPI ZAMPONZA WADADA NCHINI CAMEROON.
WANAWAKE wawili vijana wenye umri wa miaka 20 na miaka 25 moja akiwa katika mini skirt na akiwa amevaa nguo iliyokuwa ikionyesha matit...
Read More
POLISI WAJERUHI KWA MABOMU DAR ES SALAAM NA RUFIJI.
NI KATIKA VURUGU ZILIZOTOKEA TEGETA, IKWIRIRI, MMOJA HOI MUHIMBILI . POLISI wamewajeruhi watu watatu kwa mabomu, mmoja kati yao akiw...
Read More
WANANCHI GEITA WASHAURI MAFISADI KUNYONGWA HADI KUFA
WANANCHI wa Wilaya ya Geita mkoani Geita wamesema ili kurudisha ari ya viongozi kutumikia umma, wale viongozi watakaokumbwa na kashfa z...
Read More
MAREKANI NA AU WAKATA WAAASI WA KUNDI LA M23 WADHIBITIWE GOMA DRC.
Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Hillary Clinton(R) na mwenyekiti wa AU, Nkosazana Dlamini-Zuma(L) . MAREKANI na Umoja wa Afri...
Read More
UTAFITI: MAGAZETI YA KAMPUNI YA MWANANCHI YAONGOZA KWA WASOMAJI TANZANIA.
TAASISI ya Utafiti ya Synovet imeweka hadharani matokeo ya utafiti wao kuhusu vyombo vya habari nchini kwa mwaka 2012, unaoonyesha kwam...
Read More
UMOJA WA MATAIFA KUWAWEKEA VIKWAZO VIONGOZI WA KUNDI LA WAASI LA M23 RDC.
LICHA ya waasi wa M23 kutangaza kujiondoa kwenye mji wa Goma, Umoja wa Mataifa unasema waasi hao hawajaonesha dalili ya kuondoka kabisa ...
Read More
WATU 64 WAUAWA NA KUNDI LA WAASI LA M23 KATIKA MJI WA GOMA DRC.
Waasi wa kundi la M23 wakimshikilia mtu anayeshukiwa mwanachama wa kundi la FDLR. SERIKALI ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Cong...
Read More
RAIS KIBAKI AMPA SHAVU JK.
HATIMAYE marais wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), wamezindua jengo la makao makuu ya umoja huo lililogharimu Euro...
Read More
MNYIKA: HATUTOI SASA MAJINA YA VIGOGO WALIOFICHA FEDHA NCHINI USWISS.
MBUNGE WA JIMBO LA UBUNGO, JOHN MNYIKA. MBUNGE wa Jimbo la Ubungo, John Mnyika (Chadema) amesema licha ya kuwa na orodha ya vigogo wa...
Read More
AGIZO LA WAZIRI MAKUFULI KUKAMATA MAGARI YA SERIKALI UNASUASUA.
Waziri wa Ujenzi, Dk John Magufuli UTEKELEZAJI wa zoezi la kukamata watumishi wa Serikali wanaotumia namba za kiraia kwenye magari ya...
Read More
WAZIRI WA FEDHA AWAMU YA TATU AZIDI KUMKABA KOO RAIS MSTAAFU BENJAMIN MKAPA
ALIYEKUWA Waziri wa Fedha, Basil Mramba ameiambia Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mji Dar es Salaam, kuwa hakukurupuka kuipatia Kampuni ...
Read More
SERIKALI YAKWAMA KWA MURO, WARUDI KUJIPANGA.
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imeiruhusu Jamhuri kufanya marekebisho katika hati ya sababu za rufaa ya kupinga hukumu iliyomuweka...
Read More
POLISI AFUKUZWA KAZI KWA TUHUMA ZA KUFANYA MAPENZI NA MTUHUMIWA MKOANI MBEYA.
JESHI la Polisi mkoani Mbeya limemfukuza kazi askari wake Enock Daffa (22) kwa tuhuma za kufanya mapenzi na mtuhumiwa wa kike mwenye ...
Read More
JAJI MKUU WA TANZANIA MOHAMED CHANDE AIKWEPA KESI YA LEMA.
Jaji Mkuu Othman Chande ambaye ameonyesha nia yake ya kujitoka katika kesi ya Lema JAJI Mkuu wa Tanzania, Mohamed Othman Chande a...
Read More
SAFARI YA MWISHO YA MSANII WA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA NA FILAMU NCHINI HUSSEIN RAMADHAN a.k.a SHARO MILIONEA.
Maelfu ya waombolezaji jana walijitokeza kushiriki mazishi ya msanii Hussein Ramadhan maarufu kwa jina la Sharo Milionea, huku mamia wakiz...
Read More
Subscribe to:
Posts
(
Atom
)